Emma Tuombe
Kampala, Uganda
Kwa ufupi, jina langu ni Tuombe Emmanuel; Mzaliwa wa Uganda; Mwenye umri wa miaka 34 Mwalimu katika shule ya msingi; Natumia lugha ya Kiswahili, Kifaransa na Kiingereza. Na nina familia pia. Briefly, my name is Tuombe Emmanuel;Ugandan by nationality; 34yrs old ;A primary school teacher by profession; I speak Swahili, French and English. I am also married.