khatib abubakar
ni kijana wa miaka 22 ,ambae nina malengo mbali mbali kama vijana wengine , na miongoni mwa mambo muhimu ambayo yanaweza kunisaidia kufikia malengo yangu ni kuwa mstahamilivu lakini pia kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamefanikiwa.