halima kiondo
MANZESE DAR ES SALAAM
Naitwa Halima Jeremia Kiondo nimezaliwa mkoa wa Kilimanjaro Same, nimesoma elimu ya msingi shule ya Turiani mwaka2002 2006 na baada ya hapo nilijiunga na elimu ya secondary katika mkoa wa Dar es salaam inayojulikana kwa jina la Theoflongowi memorial iliyopo mbezi ya kimara 2007 - 2010.
Nilipomaliza elimu ya secondary, sikupoteza muda nikajiunga na chuo cha uandishi wa habari (TSJ) Time School Of journalism 2011 advance certificate in journalism, hapo hapo nikachukua tena kozi hiyo hiyo kwa upande wa diploma certificate in journalism 2012 - 2013.