Rabii Luena

Mpiganaji dhidi ya umasikini uliotanda katika jamii dhaifu na wakazi waishio katika maeneo ya vijijini kupitia maboresho ya elimu, uendelezaji wa sayansi kwa vitendo,ukuzaji wa urahisi wa upatikanaji wa taarifa sahihi na kwa wakati muafaka, mawasiliano ya kisasa kwa unafuu, na ukuzaji wa matumizi ya teknolojia katika shughuli za kila siku.

Rabii ni Mwandishi, Mshauri kiufundi, Mtafsiri, Mkufunzi, Mtengeneza zanatepe mchanga.